Husika na kichwa cha habari hapo juu ndugu wanachama,mwenyekiti anawajulisha uwepo wa mkutano mkuu utakaofanyika siku ya jumamosi tarehe 8 mwezi wa tisa (9),2012.katika chuo cha bahari (DMI ) saa nne asubuhi.
Agenda za kikao ni;
1.Ripoti ya utekelezaji kazi za kamati ya utendaji
2.Taarifa ya mapato na matumizi
3.Kupitisha rasimu ya katiba ya chama /marekebisho ya katiba
4.Uchaguzi wa viongozi kwa nafasi zilizowazi
5.Kutoa maelekezo juu ya kuandaa mpango mkakati wa chama wa miaka mitano /strategic plan
Ukiwa mwanachama unaombwa kuhudhuria bila kukosa ili kutumuia haki yako ya kikatiba katika kuchangia na kusimamia maendeleo ya chama.
WAKO
SALUM S. H
Kaimu katibu MNOAT



Upuuzi mtupu,hiyo MNOAT ni marehemu,wanafanya hivyo baada,ya kuona kuna JAHAZI imeanzishwa,kwanini Watanzania tumekuwa na roho mbaya namna hii???Hiyo MNOAT,imesaidiaje maofisa wataalamu wa mambo ya bahari???tuwe wakweli
ReplyDelete