Ndugu wanachama wa chama cha Mapinduzi,
Tunapenda kuwafahamisha kuwa Tawi la chama cha mapinduzi- DMV linategemea kufanya mkutanao mkuu wa wanachama wote . Mkutano huu utafanyika siku ya Jumapili, tarehe 12 August 2012, mahali utakapofanyika ni 7901 MEADOW CREEK PARK, SILVERSPRING MARYLAND, Muda wa mkutano ni 4.00 P.M JIONI. ( TAFADHALI ZINGATIA MUDA).
Baadhi ya Agenda za mkutano zitakuwa:
1. Kujadili Maendeleo ya Tawi
2. Taarifa Kamili ya Tawi
3. Kuandikisha wanachama wapya na utoaji wa kadi
Kwa maelezo zaidi, tafadhali usisite kuwasiliana na wajumbe wafuatao:
1. Loveness Mamuya 240 -423 -0437
2. Yacob Kinyemi 202-629 -7841
3. Lemmy Mhando 202-361-1059
4. Alawi Omary 301-592-7581
5. Faraja Isongo 301-592-7581
6. Benjamini Mwaipaja 240-243-6737
7. Hidaya Mahita 240-271-7799
8. Halima Ali 240-988-4242
Wanachama wote wa CCM Mnakaribishwa
Taarifa Imetolewa na
ofisi ya Katibu wa Tawi-DMV



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...