Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya Mbinga,Oddo Mwisho (kulia) akirudisha fomu kwa katibu wa CCM mkoa wa Ruvuma,Vellena Shumbusho kugombea nafasi ya mwenyekiti wa chama mkoa.
Katibu wa CCM mkoani Ruvuma,Vellena Shumbusho aliyeinama (kushoto) akihakiki fomu za mgombea wa nafasi ya katibu wa uchumi na fedha,Agnellus Lugome katika ofizi za chama mjini songea jana.
Katibu wa CCM mkoa wa Ruvuma,Vellena Shumbusho (kushoto) akipokea fomu kutoka kwa mwenyekiti wa chama hicho wilaya ya Songea,Ali Madamba (kulia) ya kuomba kugombea uenyekiti wa mkoa.
Salim Mohamed (kulia) akikabidhi fomu ya kugombea nafasi ya katibu wa uchumi na fedha ya chama cha mapinduzi kwa katibu wa chama hicho mkoani humo Vellena Shumbusho kushoto.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi mkoa wa Ruvuma,Wilbroad Kayombo kulia akikabidhi fomu ya kugombea nafasi ya mwenyekiti wa chama mkoa,ambnapo hadi sasa nafasi watu sita wameshachukua fomu ya kuomba kuchaguliwa katika nafasi hiyo kubwa kuliko zote ngazi ya mkoa.PICHA NA MUHIDIN AMRI.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...