Muandaaji wa Tupo Zusammen Festival, Bwana Erick Morro akitoa maelezo juu ya Tanzania.
 Wajerumani wakipewa somo katika warsha  ya ngoma za asili ya Tanzania.
 Kaka Arba kutoka Tanzania akichalanga ngoma ya mdundiko huku watu wakijiachia kwa raha zao
 Wajerumani wakisakata ngoma za asili za Tanzania.
Kaka na Dada wa kitanzania wakionyesha nguo za utamaduni wa kitanzania katika Fashion show.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Nasikitika kwamba sikupata taarifa juu ya mambo mazuri kama haya ingawa niko mji jirani na NUREMBERG, naomba tuwasiliane ndugu zangu Watanzania mliopo hapo NUREMBERG ili tufaahamiane zaidi.
    +4917635375622
    Nwasilisha. Mungu Ibariki Tanzania

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...