Kamarade Ali Choki na bendi yake ya Extra Bongo Next Level ndani ya ukumbi wa White House, Ubungo Korogwe jijini Dar es salaam. Pamoja naye jukwaani ni Rogert Hegga Caterpiller, Hadija Mnoga Kimobitel na Banza Stone Mwana Masanja
Home
Unlabelled
Extra Bongo Next level wakiwa kazini
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...