Wananchi wa jiji la Arusha wakiwasikiliza viongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika viwanja vya Kilombero-karibu na hospitali ya Levolosi-Jijini Arusha leo. Kwa picha zaidi nendawwww.wazalendo25.blogspot.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. HEEEE!!!!! MICHUZI UMEANZA UNAPOST HATA MAMBO YA CHADEMA HUMU?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...