Home
Unlabelled
OMMY DIMPOZ - BAADAE (Official Video)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hii imekuwa ya kizungu sana japo quality ni nzuri. Huwezi kuiangalia sebuleni mama mkwe akiwa hapo au hata mama/baba yako mwenyewe. Kwa wenye watoto wakubwa pia ni mtihani. Hii ni changamoto kwa wasanii kuweza kudhibiti viwango vya kazi zao ziweze kukidhi burudani kwa makundi yote. Mfano huu wimbo ni mzuri sana na unafaa kusikilizwa na kila mtu, lakini video dada kajiachia too much for our African families to view kwa kujichanganya.
ReplyDeleteVideo ni mzuri kupita kiasi na imelenga vijana. Huwezi kuwa na video inayokidhi kila kundi ~ ikipendwa sana na vijana wazee watachukia na ikipendwa sana na wazee vijana watachukia!
ReplyDeleteIts too American ..... sijapenda!!
ReplyDelete