Utangulizi
Kampuni ya Aureus Limited (zamani ilikuwa ikiitwa Mineral Extraction Technologies Ltd (Minextech)) ni kampuni inayojishughulisha na uchenjuaji wa marudio ya dhahabu ya wachimbaji wadogo (gold tailings) kwa kutumia teknolojia ya kemikali ya sayanaidi (vat leaching).
Kampuni hiyo inamiliki leseni ya uchimbaji madini ML 384/2009. Mitambo ya uchenjuaji ya kampuni hiyo ipo katika maeneo mawili, mtambo wa kwanza upo katika Kijiji cha Nyarugusu Wilayani Geita na mtambo wa pili upo huko Nyakato Jijini Mwanza.
Mwezi Agosti hadi Septemba 2011, Wakala wa Ukaguzi wa Madini Tanzania (TMAA) ulifanya ukaguzi wa hesabu za fedha na kodi kwa kampuni ya Minextech (ambayo sasa inaitwa Aureus Limited). Ukaguzi huo uligundua kasoro kadhaa zilizoikosesha Serikali mapato. Baadhi ya kasoro hizo ni:


Sasa huu ni mfano mmojawapo tu wa tuhuma kama hizi...hebu jiulize ni kiasi gani cha fweza kinapotea cha mapato ya serikali na effects kwenye ajira na maendeleo ya nchi kama kuna makampuni 20 tu kama haya...hawa hawatakiwi kulipa tu...wakishalipa wananyang'anywa leseni kwavile si waaminifu...it doesn't matter kuna mikataba gani...Ukishavunja sheria kila linalofuata ni sheria"...Mdau-CA, USA
ReplyDeleteKazi nzuri sana, lakini hunatuambia kama watalipa hizo pesa
ReplyDelete
ReplyDeleteJamani tufuate sheria ya nchi - kama kuna ubadhilifu mpelekeni mahakamani na mtoe ushahidi, yeye ajitetee na kuleta ushahidi wake na hukumu itolewa. Taarifa kwa umma msingi wake nini wakati hamjayamaliza? Kwa mtindo huu ndio maana mnashtakiwa na kushindwa kesi na pia mkashitakiwa nyie kwa uchafuzi wa biashara.
joe bura dar
Hivi hao TMAA hutoa wakaguzi kwa ajili ya migodi yote nchini au ni hiyo kampuni tu? Basi kama hali halisi ndio hiyo huko migodini, kwa kweli, hii nchi ishakuwa "shamba la bibi".......
ReplyDelete