Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hii imekuwa ya kizungu sana japo quality ni nzuri. Huwezi kuiangalia sebuleni mama mkwe akiwa hapo au hata mama/baba yako mwenyewe. Kwa wenye watoto wakubwa pia ni mtihani. Hii ni changamoto kwa wasanii kuweza kudhibiti viwango vya kazi zao ziweze kukidhi burudani kwa makundi yote. Mfano huu wimbo ni mzuri sana na unafaa kusikilizwa na kila mtu, lakini video dada kajiachia too much for our African families to view kwa kujichanganya.

    ReplyDelete
  2. Video ni mzuri kupita kiasi na imelenga vijana. Huwezi kuwa na video inayokidhi kila kundi ~ ikipendwa sana na vijana wazee watachukia na ikipendwa sana na wazee vijana watachukia!

    ReplyDelete
  3. Its too American ..... sijapenda!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...