Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mizengo P. Pinda amewavua madaraka Wakurugenzi Sita, ameteua Kaimu Wakurugenzi sita, Wakurugenzi Wapya kumi na nne, na kuwahamisha Wakurugenzi ishirini na saba kutoka katika vituo vyao kutokana na sababu mbalimbali.Miongoni mwa sababu hizo ni pamoja na kuonyesha Udhaifu katika kutekeleza majukumu, kustaafu, kujaza nafasi zilizo wazi katika Halmashauri Mpya zilizoanzishwa hivi karibuni na wengine wamebadilishiwa majukumu na kurejezwa katika kazi zao za awali.
Kwa orodha kamili ya majina ya Wakurugenzi hao na maeneo wanayotoka BOFYA HAPA


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...