Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Peter Pinda (anayepunga mkono) akiwasili katika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi katika ujenzi wa nyumba za viongozi Wilayani Ukerewe.
Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akisalimiana na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Arch. Elius Mwakalinga.
Ngoma ya Utamaduni ya Utandawazi ikitumbuiza wakati wa hafla hiyo ya uwekaji wa Jiwe la Msingi.
Jiwe la Msingi la Ujenzi wa nyumba za Viongozi Wilaya ya Ukerewe lililiowekwa na Mhe. Waziri Mkuu.
Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda (katikati) akitoa maelekezo mara baada ya hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi kwenye ujenzi wa nyumba za viongozi iliyofanyika jana Wilayani Ukerewe. Wa kwanza kushoto ni Mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pinda.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...