Akiwa katika misele ya vekesheni Ankal amegongana na wapiganaji Chabby Barasa wa Daily News (shoto) na Gerson Msigwa wa TBC One jijini Zurich, Uswisi leo. Ze Fulanazzzz kama kawa unaambiwa...
Ankal akiwa na mdau Fred Bwana wa Columbus, Ohio, jijini Zurich kwenye misele ya vekesheni 


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Fulanazzz

    ReplyDelete
  2. Mjomba hiyo Fulanazzzz ni tambiko au ndio kanuni?

    Maana pamoja na Koti la maana kabisa lakini bado ipo mwilini,,,sisi tutanmtafuta Daktari au Mwalimu aliyekupatia hiyo Fulanazzzz!

    ReplyDelete
  3. hiiiii! Ze Fulanazzzzzzzzzz! ya globu ya jamii ndani Uswiss
    wadau
    FFU UGHAIBUNI

    ReplyDelete
  4. The Fulanaz

    ReplyDelete
  5. Huyo Mwanasayansi au 'Sheikh' aliyekupatia fulanazzz kwa kweli alipatia mashariti magumu sana!

    Yaani hata kama utavaa koti la dhahabu lakini ndani fulanazzz?

    ReplyDelete
  6. Mimi swali langu moja tu.....

    Ankal; kwani hiyo fulana haichakai?

    ReplyDelete
  7. Sheikh Yahya alimtabiria kwamba akivaa hii fulani kila wakati vekesheni ya Magogoni atakuwa kwenye list!

    ReplyDelete
  8. Comments za chuki nongwa Nk... Hao lazima ni wabongo. Can we have substance pliiz. Vipimo viwili kwa kila mmoja.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...