Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. KENYA:

    Tupo na ninyi kwenye Umoja wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki, hii ina maana tumeunga undugu zaidi ya ilivyokuwa kabla licha ya undugu wetu wa Kiasilia baina yetu.

    Hivyo basi, lenu ni la kwetu na la kwetu ni lenu pia!

    Tafadhalini sana mdumishe amani na Mchaguane kwa amani Uchaguzi Mkuu Machi-2013!

    Kuna sababu ya aibu kubwa ya Uchaguzi uliopita 2007-2008 kujirudia tena?

    ReplyDelete
  2. HUYU JAMAA ANATISHA. YUPO JUU ALWAYS. MESSAGE TO KENYANS LISTEN

    ReplyDelete
  3. This is a Congolese preaching PEACE to Kenyans! Message sent majirani zetu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...