Home
Unlabelled
daladala zetu jijini Dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Wana tabia chafu hawa madereva wa daladala na viburi sana,utadhani hawafahamu vizuri sheria za barabarani.Wananikera kweli.Wanaweza kusimama muda mrefu katikati mwa barabara..ukasubirii weeeeeee..ukiamua sasa kuovertake ili upite pembeni na yeye anaondoka..upo hapo??Bora zije hizo treni na mabasi yaendayo kasi utakuwa mwisho wa jeuri yao
ReplyDeletesi ndo kibongo bongo hiyo hakuna sheria halafu tunajifanya tambarare na kuwafukuzia wataifa ya juu wakati bado tuna taamba.
ReplyDeletetuwachiye tu wafanye hivyo kwa sababu its THIRD WORLD lilfe
Hii ni kawaida yao kabisa na hapa wanazibiana ili kupata au kuwahi abiria wakati wanajua kuna magari mengine lazima yapite. Hii hasa barabara ya tandale sasa ina maana wanaosimamia sheria hawalijui hili?! Kamanda wa traffic wa mkoa tafadhali tekeleza wajibu wako
ReplyDeleteMagari menyewe nasikia mengi ni ya ma traffic...conflict of interests
ReplyDeleteserikali legelege huzaa watumishi legelege,hapa Dereva anatafuta riziki yake kwa njia ya mkato,watumishi wa serikali nao wanatafuta njia za mkato ili kieleweke.Inawezekana polisi usalama barabara wamekula rushwa hao mpaka rushwa imechefua kilichobaki ni kutizamana au kujifanya hujaona.Labda liletwe ROBOTI KUKAMATA WAPUUZI HAWA.
ReplyDeleteWasome alama za nyakati wamiliki na wafanyakazi wote wa daladala nionacho ni kero kubwa ambayo abiria na wananchi wote wanayopata toka kwao. Ongezeko la mabasi 200 ya UDA, mabasi yaendayo kasi,treni mbona watatafuta mapori watakimbilia vijijini wenyewe bila ya kupewa notisi. ni subira tu yahitajika.
ReplyDeleteAnonymous Anonymous said...
ReplyDeleteSat Oct 20, 08:44:00 PM 2012
Umesema kweli ndugu yangu kama siyo yake basi yeye msimamizi wakikugonga wabambikiwa kesi fasta. We acha tu.
Observer.
Tatizo ni miundombinu mibovu,hao jamaa wapo sawa kabisa.
ReplyDelete