Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR)Dkt. Mwelecele Malecela (aliyeshika tuzo katikati) ,akiwa na watumishi wa NIMR mara baada ya kurejea katika Uwanja wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es Salaam jana,kutoka Washington DC, Marekani ambako hivi karibuni  alitunukiwa tuzo ya NTD Champion Award,kufutia juhudi zake kubwa na kujituma katika kudhibiti na kutokomeza magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele (Neglected Tropical Diseases). Picha na NIMR

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa



  1. Hongera sana doctor
    i think wewe haupo kama ulimboka au vipi???nauhakika kuna kitu umejifunza marekani sasa ebu mshauri mwajiri wako abadilishe admission system ya medical universities zoote Tanzania
    woote wanaotaka kufanya medicine wapigwe kwanza interview alafu waandike personal statement ikiwezekana wapimwe akili usikute tunatibiwa na vichaa lakini hawa jijui kama wanavyofanya marekani, U.K, Canada, Australia, India na hata Korea

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...