Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR)Dkt. Mwelecele Malecela (aliyeshika tuzo katikati) ,akiwa na watumishi wa NIMR mara baada ya kurejea katika Uwanja wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es Salaam jana,kutoka Washington DC, Marekani ambako hivi karibuni alitunukiwa tuzo ya NTD Champion Award,kufutia juhudi zake kubwa na kujituma katika kudhibiti na kutokomeza magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele (Neglected Tropical Diseases). Picha na NIMR
Home
Unlabelled
Dkt. Mwelecele Malecela apokelewa kwa shangwe
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



ReplyDeleteHongera sana doctor
i think wewe haupo kama ulimboka au vipi???nauhakika kuna kitu umejifunza marekani sasa ebu mshauri mwajiri wako abadilishe admission system ya medical universities zoote Tanzania
woote wanaotaka kufanya medicine wapigwe kwanza interview alafu waandike personal statement ikiwezekana wapimwe akili usikute tunatibiwa na vichaa lakini hawa jijui kama wanavyofanya marekani, U.K, Canada, Australia, India na hata Korea