Flora na mlinzi wake kabla ya kuelekea kwenye onesho lake huko Goma, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambako yeye na mumewe Emmanuel walivunja rekodi kwa wingi wa watu kwa shoo ya nyimbo za injili nchini humo.
 Flora Mbasha akiwasili  eneo la tukio na mlinzi wake
 Nyomi ikimsubiri Flora Mbasha

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Show ya muziki wa Injiri inapewa Ulinzi wa Bunduki kali za kivita??

    mmh!!.. Congo kulikoni??

    ReplyDelete
  2. Ukistaajabu ya Musa......mlinzi anaacha shughuli yake anaingia ktk sebene! hiyo ndio DRC!!

    ReplyDelete
  3. mmh mbona kama kwetu Manzese tu, nina uhakika hata angeenda manzese nyomi ingekuwa kubwa zaidi. natambua kuwa ni mwimbaji wa nyimbo za injili anahudumia popote ila kwa status aliyofikia sikutarajia kama angesimama kuimbia vichochoroni tena nchi nyingine, kama ni huduma ya vichochoro kwa vichochoro aanzie hapa kwetu manzese basi hata sisi tunaitaka hiyo huduma

    ReplyDelete
  4. GUU GUU FLORA, HAPO NAKUPA 100%

    ReplyDelete
  5. huyo mlinzi akitua dar wenyewe hayo magwanda wanamvua

    ReplyDelete
  6. MDAU ULIEANDIKA PARAGRAPH HIYO CHINI, KUMBUKA HII NI INJILI SI BONGOFLEVA HAIBAGUI MTU KUTOKANA NA ENEO ANALOTOKA HATA KAMA SPACE IMEPATIKANA KWENYE DAMPO INAPIGWA BILA SHIDA TU INJILI

    mmh mbona kama kwetu Manzese tu, nina uhakika hata angeenda manzese nyomi ingekuwa kubwa zaidi. natambua kuwa ni mwimbaji wa nyimbo za injili anahudumia popote ila kwa status aliyofikia sikutarajia kama angesimama kuimbia vichochoroni tena nchi nyingine, kama ni huduma ya vichochoro kwa vichochoro aanzie hapa kwetu manzese basi hata sisi tunaitaka hiyo huduma

    ReplyDelete
  7. Mh Florah,
    UNAPELEKA KWELI NENO KWA WANAKONDOO WALIOLIKOSA,LAKINI,MWE,UANGALIE NA USALAMA WAKO.HUKO DRC UMEPEWA ULINZI WA BUNDUKI LAKINI ASKARI WENYEWE HAWANA MAADILI!ALIPOKUWA ANACHEZA VIFAA HATARI ALIACHA WAPI?MH!MWILI UMENISISIMKA,HATARIII1

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...