Ofisa Mtendaji Mkuu wa Persistent Energy Partners, Christopher Aidun akisoma hotuba yake wakati uzinduzi rasmi wa kampuni hiyo Dar es Salaam jana. Katikati ni Mwakilishi kutoka Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Msofe na Mwenyekiti Bruce Usher.
Mwakilishi kutoka Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Msofe akisoma hotuba yake wakati wa uzinduzi rasmi wa kampuni ya Nishati ya Persistent Energy Partners, Dar es Salaam jana. Kushoto ni na Mwenyekitiwa kampuni hiyo Bruce Usher na Ofisa Mtendaji Mkuu, Christopher Aidun.
Maofisa wa kampuni mpya ya nishati ya Persistent Energy Partners (kutoka kushoto) Ofisa Mtendaji Mkuu, Christopher Aidun, Mkurugenzi Mkazi wa kampuni hiyo, Afrika Mashariki, Peter Malika, Ofisa Uwekezaji, Immanuel Muro na Mwenyekiti Bruce Usher (kulia) wakisikiliza maelezo kuhusu mfumo wa umeme wa jua toka kwa Mkurugenzi wa Miradi na Biashara wa kampuni ya Ensol, Prosper Magali (wa pili kulia) mara baada ya uzinduzi rasmi wa kampuni hiyo Dar es Salaam leo.
Wadau wa nishati wakifuatilia hotuba ya Ofisa Mtendaji Mkuu wa Persistent Energy Partners, Christopher Aidun wakati uzinduzi rasmi wa kampuni hiyo Dar es Salaam leo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...