KATHERINE LAWRENCE SAGUTI
22.09.1936 - 04.10.2009
Mpendwa Katherine. ilikuwa dakika, siku,miezi, Mwaka,na sasa imetimia
miaka mitatu, tangu ulipotutoka kimwili, ukituachia huzuni na upweke usiobebeka.
Lakini tunaendelea kufarijika kwa imani kwamba, BABA MUNGU
amekupunzisha mahali pema ambapo tutakutana nawe.
Unakumbukwa sana na Mimi Mumeo Mpendwa Lawrence , Watoto wako , Wakwezako, Wajukuu zako, Ndugu , Jamaa , Marafiki na jirani zako.
Neno; Zab.23
Jamani Mama yangu... Mungu na aendelee kukupumzisha mpaka pale tutakapokutana tena. Najua tayari uko na rafiki yako mkimtukuza Mungu kwa nyimbo za kumsifu kama vile mlivyokuwa mkifanya pale Azania Front, sauti ya kwanza!!! Mwanao Elly Njau.
ReplyDelete