Rosemary Mizizi pamoja na blog ya mwanamke wanakutaarifu wewe mwanamke kujitambua na kuuthamini uwanamke wako uwe kwenye ndoa, una mchumba au mpenzi lakini ukitegemea siku moja kuingia kwenye ndoa wameandaa event juu yako hii sio ya kukosa tembelea Mwanamke na Nyumba blog kwa maelezo zaidi.

Mwanamke jitambue umuimu wako kwako binafsi  na kwa jamii yako. 
Rosemary Mizizi
Mobile: 0717 019320
BBM Pin: 23A0C2B4
Ahsante Sana.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...