Kiungo Machachari wa Timu ya Yanga,Haroun Niyonzima akijaribu kutaka kumtoka,Shomari Kapombe wa Simba katika mchezo wa mzunguko wa kwanza wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara unaoendelea kuchezwa hivi sasa katika uwanja wa Taifa,jijini Dar es Salaam.Kipindi cha kwanza kimemalizika na Simba wanaongoza kwa bao 1-0 lililofungwa na Mchezaji Amri Kiemba.
Mshambuliaji wa Timu ya Yanga,Said Bahanuzi akijaribu kutaka kuwatoka mabeki wa timu ya Simba katika mchezo wa mzunguko wa kwanza wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara
unaoendelea kuchezwa hivi sasa katika uwanja wa Taifa,jijini Dar es
Salaam.Kipindi cha kwanza kimemalizika na Simba wanaongoza kwa bao 1-0
lililofungwa na Mchezaji Amri Kiemba.
Nizar Khalfan wa Yanga akiondoka na mpira.
Beki wa Simba akiondoa hatari iliyokuwa ikielekea langoni mwa timu yake.






Inakuwaje kila siku Yanga inafungwa na Simba?
ReplyDeleteMtoa comment no 1 uwe na busara kidogo. Hilo hupaswi kufundishwa darasani ila kutumia akili tu. Hapa Blog ya jamii ilikuwa inatoa progress report na sio final report. Mpira ni dkk 90. Ungepaswa uongelee ushindi baada ya muda huo. Hapo sitakudai hata hela ya tuitition kwa kukupa shule hiyo ndogo. Hata mwanao mdogo angeweza kukusaidia
ReplyDeleteSimba walikuwa wanatoatoa ovyo mipira.
ReplyDelete