Kada wa Chama cha Mapinduzi mkoani Kilimanjaro, Aggrey Marealle jana amechaguliwa kuwa Mjkumbe wa NEC kutoka Wilaya ya Moshi mjini Mkoani Kilimajaro.Mareale amemwangusha mpinzani wake katika nafasi hiyo Buni Ramole. Aidha katika uchaguzi huo pia ulimchagua Bi. Elizabeth Minde kuwa Mwenyekiti wa Chama hicho wilaya ya Moshi Mjini.
Home
Unlabelled
Aggrey Marealle achaguliwa Mjumbe wa NEC Moshi Mjini
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Mmemuona Mchagga mjanja?
ReplyDeleteNi Aggrey Marealle, !
Huwezi kupata maisha kama haupo kwenye mfereji wa maziwa kwa asali, amechagua CCM kwa kuwa amejua CDM ni safari ndefu kufikia Malengo!
Unamtania sumae? Unajua siku hizi anasoma hizi blog hasa baada ya kutoka kujifua uraya!
ReplyDelete