Mbunge wa Tarime Mh. Nyambari Chacha Mariba Nyangwine akimkabidhi vitabu Mama Lucy Mwandosya alipomtebelea hivi karibuni Mbunge wa Rungwe Mashariki na Waziri asiye na wizara maalumu Prof. Mark Mwandosya kijijini, Lufilyo,Rungwe, Mbeya
 Kutoka kushoto ni Albert Mwasibata mkazi wa Tukuyu, Mama Lucy Mwandosya, Mh.Nyambari Chacha Nyangwine, Nd. Chacha Magasi, mwalimu CBE Dodoma, Prof. Mark Mwandosya na katibu wa mbunge Nyangwine Nd. Paul Koloso

Mbunge wa Tarime Mh. Nyambari Chacha Mariba Nyangwine akikabidhi Vitabu kwa mwalimu mkuu wa Shule ya Sekondari ya Lufilyo 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hongera Mheshimiwa Nyangwine kwa kuwapatia vijana wetu vitabu. Pia mwandae Tata Magasi naye achukue jimbo mojawapo mkoani Mara ili mshirikiane vizuri kuinua elimu ya Tanzania. (Mdau Sweden)

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 11, 2013

    Mheshimiwa nyangwine akatuahidi milioni 6, hadi leo ni kitendawili.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...