Mbunge wa Tarime Mh. Nyambari Chacha Mariba Nyangwine akimkabidhi vitabu Mama Lucy Mwandosya alipomtebelea hivi karibuni Mbunge wa Rungwe Mashariki na Waziri asiye na wizara maalumu Prof. Mark Mwandosya kijijini, Lufilyo,Ru ngwe, Mbeya
Kutoka kushoto ni Albert Mwasibata mkazi wa Tukuyu, Mama Lucy Mwandosya,
Mh.Nyambari Chacha Nyangwine, Nd. Chacha Magasi, mwalimu CBE Dodoma, Prof. Mark Mwandosya na katibu wa mbunge Nyangwine Nd. Paul Koloso


.jpg)


Hongera Mheshimiwa Nyangwine kwa kuwapatia vijana wetu vitabu. Pia mwandae Tata Magasi naye achukue jimbo mojawapo mkoani Mara ili mshirikiane vizuri kuinua elimu ya Tanzania. (Mdau Sweden)
ReplyDeleteMheshimiwa nyangwine akatuahidi milioni 6, hadi leo ni kitendawili.
ReplyDelete