Home
Unlabelled
msaada tutani: hawa ni wa syrian wa wapi?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hawa jamaa ni wahuni. Almost the whole year wapo hapa. Utaona after some few months maonesho mengine yataanza, ukienda utaona bidhaa za nje nyingine na wanauza tuu wala sio maonyesho.
ReplyDeletehii nadhani ni Tanzania tuu, nahisi hata kodi hawalipi!! bongo kweli tambarare!!
Hawa ni Wasyria wajasiriamali.
ReplyDelete@Anonimous1,
Nafikiri sio sahihi kuwaita wahuni, hizo ni mbinu zao za kibiashara. Kama unahisi hawalipi kodi waripoti kwa TRA wawafuatilie. Wabongo tunapenda sana kulalamika wakati sisi sio wabunifu. anzisha maonyesho yako nawe kama ni rahisi kihivo na wewe usilipe kodi (!?*&!!!)
Sasa ikiwa kwao kuna vita ndiyo wao wasile?
ReplyDeleteJamani wacheni hizo, nakubaliana na mdau namba mbili, ikiwa wanalipa kodi zote ipasavyo maisha yanaendelea with or without vita huko Syria.
NI WASYRIA WA BONGO!UKIONA VIPI NA WEWE NENDA SYRIA UKATANGAZE BIASHARA YA BONGO!
ReplyDeleteKUWEPO VITA SYRIA HAIZUII WASYRIA WA WATZ KUFANYA BIASHARA YAO,,UKISEMA UWAFATILIE KAMA WANALIPA KODI AU LAA,,HICHO NI KIZIBA CHA ROHO.
PIA MDAU REKEBISHA HIYO SALAAM:SALAMALEKO NDO NINI?
BI.AHLAM ,,LONDON
Utawajuwa wanafiki Huanza kijanja janja Salamu tu zinawagongesha kama kuna vita ndio binadamu wasitafute njia zengine za kula jifunzeni na nyie hapo sehemu moja ikizibwa Mwenyezi mungu humfungulia binadamu kwengine hata wewe hujakatazwa kwenda kutangazia biashara zako nchi zengine.
ReplyDeleteHilo swali la kubumburusha dili hilo!
ReplyDeleteZamani hawa tuliwaita 'Washihiri' wa Mnazi Mmoja na Kariakoo DSM. Maduka yote yalikuwa yao kabla wazawa wenzetu wa Moshi na Pemba hawajafika mjini DSM
ReplyDeleteMdau
Mtoto-wa Mjini
NAKUBALIANA NA WEWE MDAU KWANI SIKU ZOTE KILA PALIPO NA RISK NYINGI NDIO PANA MAFANIKIO NA NDIO MAANA NCHI ZOTE ZENYE VITA AU ZILIPITIA KWENYE VITA ZIPO JUU KULIKO SIE AMBAO TUPO KWENYE AMANI, MFANO RWANDA
ReplyDeleteSasa ikiwa kwao kuna vita ndiyo wao wasile?
Jamani wacheni hizo, nakubaliana na mdau namba mbili, ikiwa wanalipa kodi zote ipasavyo maisha yanaendelea with or without vita huko Syria.
Iliyobaki kwa wabongo ni fitna na majungu tu,wageni wanaingia na kutafuta rizki na mkate wa kila siku wabongo mmekalia majungu tu . mdau uliyeleta topic hii hata wewe hujakatazwa kuanzisha exhibition yako. sio kukalia roho ya korosho tutabaki malofa mpaka kufa kwetu wakati wenzetu wanatupiga bao.sasa kwa taarifa yako jibu ni kuwa hao ni wa-Syria wa mahuta shimoni Mtwara.
ReplyDeleteJamani Wa-Syrian ni kabila moja limetapakaa karibu middle east yote.lipo Iran, Iraq Syria, Lebanon Iraq wa-Syrian ambao wengi wao ni wakristo walikuwa wanabaguliwa na utawala wa Saadam Hussein. Australia iliwapokea kwa wingi kama wakimbizi wa kisiasa.
ReplyDeleteMdau aliyeuliza swali yuko sahihi kabisa, madau anonymous wa pili amekosea kabisa!
ReplyDeleteExhibition maana yake ni maonyesho ya kibiashara(sio mauzo!), na huwa yana masharti na taratibu zake (labda bongo ndio hakuna kanuni wala taratibu!). Exhibition unaonyesha bidhaana technology mpya sokoni kwa wanunuzi/watengenezaji wakubwa na huwa bidhaa zinazoonyeshwa zinauzwa siku moja au mbili za mwisho wa maonyesho ili wasibebe kurudi nzao.
Nia kubwa ya exhibitions ni ku-transfer technology/knowledge ya markets and products/skills na exchanges za contacts na kuanzisha ushirikino, SIO KUUZA JUMLA KWA WATUMIAJI.
Tatizo la Syrian exhibitions ni kuwa wanauza kuanzia siku ya kwanza, kwa hiyo sio exhibition ni Gulio!. Na wala hakuna techonoly/skills transfer, kwa hiyo wakiita Gulio hamna shida lakini exhibition wanatuaibisha, kama vile TZ hatujui Exhibition ni nini.
Nimetembea nchi mbalimbali, ni kweli hili linatokea TZ tu...thubutu ujinga huu nchi za watu.
Wanaosema ni kijiba, kutokuwa wabunifu wanaonyesha wa TZ ni watu wa aina gani. Kuna sababu nyingi za kukataa magulio ya namna hii. Moja kubwa ya kimaadili ambayo ni morally incorrect ni kwamba sio haki kwa wenye maduka ya kibongo. Huwezi ukaruhusu wananchi wako wakapata upinzani wa kibiashara kutoka nje unfairly kwa watu kujifanya ni maonyesho kumbe ni Gulio...fikiria kidogo, it is FAIR??
Hebu waambie aho WaSyria wakajaribu Ujerumani, Sweden, Finland.. ndio utajua wajinga ndio waliwao.
Kwa kipimi hiki, hata DAR ES SALAAM TRADE FAIR uwanja wa sabasaba inabidi wajiangalie upya. Lazima waje na wawazo ya kisasa na ya ukweli. Huwezi ukaendelea kuruhusu Wachina na wengine wakaendelea kulema ma-container mengi kuuza sabasaba badala ya kufanya exhibition na wakajiunga na wawekezaji/businessmen wa kiTanzania kuanzisha uzalishaji vitu vipya, sio kutuuzia tuuu mpaka mwisho!. Wanatuangusha.
Jamani la kwanza Tuwaonee huruma walio ktika Matatizo.
ReplyDeleteKWA ILE TU KUSIKIA JAMAA NI WASYIRIA HUKU TUKIZINGATIA UBINAADAMU NA JINSI HALI ILIVYO HUKO KWAO ILIBIDI TUWAONEE HURUMA SANA NA PIA TUWASIFU KUWA NI JASIRI SANA.
NANI AJUWAYE WEWE UNAYEPINGA NA KUFUATILIA UNA UHAKIKA GANI NA MAISHA YA BAADAE?
UNAJUAJE INAWEZA KUTOKEA SIKU MOJA ACHILIA VITA KUTOKEA KWENU UKAKIMBILIA SYRIA, ITOKEE WEWE UPO SAFARINI UKAFIKA SYRIA UKAKUTANA NAO JAMAA KAMA ULIWAANYIA UBAYA JE SI UTAKUWA UMEUMBUKA?
LA MUHIMU UNAPOONA MWENZIO ANA MATATIZO KWAO, BADALA YA KUMKWAMISHA MWONEE HURUMA NA UMSAIDIE!