Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Eunice Chiume akizungumza na wasanii wa Filamu Tanzania.
Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Cricentus Magori akimkabidhi msanii wa Filamu, Anne Costantine 'Waridi' kadi ya Uanachama wa NSSF
Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Cricentus Magori akimkabidhi msanii wa Filamu, Mahsein Awadh 'Dk. Cheni' kadi ya Uanachama wa NSSF.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...