MAREHEMU HERI YESAYA MASASI

Familia ya bwana na bibi Yesaya Joseph Masasi wanapenda kumshukuru Mungu na pia kuwashukuru wote waliofanyika faraja wakati wa kipindi kigumu cha kuondokewa na   mpendwa wao Heri Joseph tarehe 2/10/2009.

Shukrani za pekee ziwaendee madaktari na wauguzi wa hospitali za Muhimbili na Tumaini, Wafanyakazi wa Tume ya Kikristo ya Huduma za Jamii (CSSC), ndugu , jamaa namarafiki wa familia.

Unakumbukwa daima na baba na mama, dada zako Vicky, Sara, Eva, Salome, watoto wako Erick na Sara, shemeji zako Paulo, Godwill na Hariri, wapwa zako Melchior, Yesaya, Isaka, Jeni na Fathia, ndugu  na marafiki.
Tulikupenda sana lakini Mungu amekupenda zaidi. 
Kila siku tunakuombea kwa Mungu akupumzishe mahali pema.
Amen 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...