Lundo hilo la Taka ngumu lipo kwenye kona ya Namanga,ubavuni kabisa mwa Barabara ya Ally Hassan Mwinyi Rodi ambapo haijafahamika mpaka sasa kwamba ni kwanini lundo hilo lipo katika eneo hilo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Biashara kubwa ukipata contract kutoka serikali au city kusafisha mji.Hakuna biashara ya binafsi inayo ajiri watu kuzoa taka taka?

    ReplyDelete
  2. Wasi wasi ondoeni hivi karibuni hiyo hali itakuwa historia kwani tunategemea kupata ufadhili wa uondoshaji taka mijini, kwa 173ufadhili kutoka kwa watu wa................

    ReplyDelete
  3. zinapendezesha jijiiii!! hatuziondoi bali tuongeza

    ReplyDelete
  4. Im PROUDLY of it. Stop your nuisance shouting.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...