Assalaamu Alaykum Wapendwa katika
Imani,
Kama mjuavyo, Inshaallah Eid El Adh-ha
itasherehekewa Siku ya IJUMAA 26-10-2012
Ufuatao ni utaratibu wa Sherehe zetu
hapa katika mji wa Leicester, Uingereza:
Inshaallah Sala ya Eid itasaliwa
katika ukumbi wa Taylor Road School na kufuatiwa na Kifungua kinywa kwa
utaratibu huu:
TAKBEER: Zitaanza Saa Mbili na Nusu
asubuhi (8.30am)
SALA YA EID: Itasaliwa Saa Tatu
Kamili asubuhi (9.00am)
PAHALA: Taylor Road School, Taylor Road,
Leicester, LE1 2JP
KIFUNGUA KINYWA: Baada ya Sala Waumini
watjumuika kama kawaida yetu kupata kifungua kinywa
PAHALA: 1st Floor, Kocha House,
Malabar Road, Leicester, LE1 2PD
AN NOOR COMMUNITY LEICESTER
yakutakieni nyote
MUBAARAK!!!
Kwa maelezo zaidi tafadhali wasiliana
nasi:
Mohammed Omar 07903978481, Abdul Dau
07792104495, Khamis Sahal 07982124581, Omar Hussein 07565512058
au e mail: madrasatulnoor.01@gmail.com


.png)
Eid mubaraak wadau mie nauliza jee CHUZI LA MBUZI litakuwepooooo?
ReplyDelete