Afisa Msaidizi wa Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA),Eva Mallya akitoa maelezo kwa Warembo wanaowania Taji la Redd's Miss Tanzania 2012,juu ya Utaratibu wa Upandaji Upandaji wa Mlima Kilimanjaro.Warembo hawa walitembelea eneo hilo la Mwanzo wa Mlima Kilimanjaro uliopo Marangu kwa ajili ya kujifunza mambo mbali mbali ya utalii wa ndani.
Baadhi ya Warembo wanaowania taji la Redd's Miss Tanzania 2012 wakizungumza na baadhi ya wabeba Mizigo ya Watalii mbali mbali waliofika kwenye Lango kuu la Kupanda Mlima Kilimanjari,lililopo Marangu Mkoani Kilimanjaro.Warembo hawa wametembelea eneo hilo la Mwanzo wa Mlima Kilimanjaro uliopo Marangu kwa ajili ya kujifunza mambo mbali mbali ya utalii wa ndani.
Baadhi ya Warembo wakiwa Wamebeba Mabegi mithili ya Watalii wanaopanda mlima Kilimanjaro.
Warembo wakiwa kwenye picha ya Pamoja.






Siku nyingine wawapigishe Day trip toka Marangu mpaka Mandara na kurudi....
ReplyDeletehivi kwanini mnawabandika namba masaa 24?
ReplyDelete