Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Khamis Kagasheki akizungumza wakati wa hafla ya kuzindua mkakati wa
miaka mitano wa Utangazaji wa Kimataifa wa Utalii wa Tanzania
(International Marketing Strategy For Tanzania) uliofanyika jijini Dar
es salaam
Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) Dk. Aloyce Nzuki akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa mkakati wa miaka mitano wa Utangazaji wa Kimataifa wa Utalii wa Tanzania (International Marketing Strategy For Tanzania) uliofanyika jijini Dar es salaam.
Mwenyekiti wa Shirikisho la vyama vya Utalii Tanzania (TCT), Gaudence Temu akizungumza wakati wa uzinduzi wa mkakati wa miaka mitano wa Utangazaji wa Kimataifa wa Utalii wa Tanzania (International Marketing Strategy For Tanzania) uliofanyika jijini Dar es salaam
Baadhi ya wadau wa uwindaji wakiwa katika hafla hiyo.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Khamis Kagasheki akiteta jambo na Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) Dk. Aloyce Nzuki.
Hong Kong authority on Friday(16 November)seized 500 pieces of ivory tusks from Tanzania worth $1.4 million (Sh2.24 billion) —the second such major haul in a month(Source:The Guardian,TZ )
ReplyDeleteDavid V