Bondia Mohamed Hemedi 'Kadogo Ninja' (kushoto) akioneshana ufundi wa kutupiana makonde na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa mazoezi yanayoendelea katika Kambi ya Ilala Dar es salaam. Class anajiandaa na mpambano wake na Said Mundi utakaofanyika Desemba 9 katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Kama mtaalamu wa mchezo wa ngumi, Usimamaji huo hakuna bondia hapo!!

    ReplyDelete
  2. Na mazoezi yote hayo tunapigwa na Mabondia wa Zambia?

    Sio kwamba Vipaji hatuna ila tatizo hatupo Kimichezo ni hapo tu!

    Acheni bangi na pombe muongeze dishi na kuacha ngono zembe ili muwe kamili mnapopanda Ulingoni!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...