ANNA SATWEVE MGINA

LEO TAREHE 15 NOVEMBER 2012 IMETIMIA MIAKA 11 KAMILI TANGU MAMA YETU MPENDWA ANNA MERIANA SATWEVE MGINA AFARIKI DUNIA TAREHE 15 NOVEMBER 2001, NA KUZIKWA HUKO MLANGALI LUDEWA.

TUNA KILA SABABU YA KUMSHUKURU MUNGU KWA JINSI MAMA YETU ALIVYOTULEA NA KWA MAISHA YAKE YOTE ALIPOKUWA HAI KWANI TUNAAMINI ALIMPENDEZA MUNGU NA WANADAMU. 

UTAENDELEA KUKUMBUKWA NA MUMEO REV. CANON STEPHANO MGINA, WATOTO WAKO, MARIAM, ANJANUSHE, AZARIA, CYPRIAN, REHEMA, POLIKAPO, OBERD, FURAHA, FRANK NA JOSEPH, WAJUKUU, NDUGU JAMAA NA MARAFIKI.
 
BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE; AMEN.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...