
Kama umefika jijini Mbeya na hujafika katika kiota hiki cha Hill View Hotel,basi jua kabisa kuwa bado hujalifaidi jiji la Mbeya.Hiki ni kiota cha kipekee kabisa ndani ya jiji hilo na kipo maeneo ya Uzunguni,sehemu iliyotulia na yenye muonekano wa kipekee,ni sehemu ambayo ina hadhi ya kimataifa kuanzia muonekano wake wa nje mpaka ndani ukiingia.huduma zake ni bora na hakuna kwa kulinganisha nako.Kiukweli sifa zote nzuri zinastahiki katika Hoteli hii.Wadau mkifanikiwa kufika Jijini Mbeya,msikose kufika kwenye kiota hiki.
KWA MAWASILIANO YA ZIADA PIGA NAMBA
+255 687 197 232
+255 763 730 500
KWA MAWASILIANO YA ZIADA PIGA NAMBA
+255 687 197 232
+255 763 730 500
Muonekano wa nje katika Lango kuu la kuingilia.
Majengo Mazuri ya Hoteli hiyo yakiambatana na sehemu nzuri za maegesho ya Magari.
Sehemu tofauti tofauti za kupumzikia wageni wafikiao katika hoteli hiyo.


Sehmu ya Vyumba vya Kulala.
Mrembo akipata nyuzzz huku akiwa ndani ya Jacuzzi.
Keep it Simon
ReplyDeleteKeep it up Simon
ReplyDeletenimependa sana ila toilet paper wasiweke juu ya choo inaudhi,
ReplyDeleteHoteli nzuri. Mara nyingi nina ona mapambo kwenye hoteli hai oneshi utamaduni wa eneo na mazigira.Mambo mengi kutoka chakula na design utamaduni wa pambo kutoka nje.Niki taka kustarehe kwenye hoteli nzuri kama hii pia nige penda iwe na touch ya utamaduni wetu. Ni senti zangu mbili. Good Job! Kila kheri Simon!
ReplyDeleteSimon, je nikija kuchukua chumba hapo Hotelini nitamkuta huyo dada Mrembo anayesoma habari akiwa ndani ya Jaccuzi?
ReplyDeleteNaomba nielewe hilo na mapema ili tusije tukapishana kimsimamo nikiwa kama Mteja mpya Hotelini hapo!
Sahamani,
ReplyDeleteHoteli nimeipenda pia 'facilities' zake zimenivutia.
Ninaomba ushirikiano wako Somini nipatie namba ya simu ya huyo Mrembo aliyekuwa ndani ya Jaccuzi ili niweze kupanga vizuri safari yangu kuja hapo Hotelini!
Wajameni mnaposikia Hoteli inatangazwa msijenge mtazamo wa kwenda kufanya kichaka cha kujificha na Hawara!
ReplyDeleteUnaweza kukaa Hotelini wewe na Familia yako kama sehemu ya Mapumziko mafupi yaani wenzetu wanasema 'Vaccation'.
vacation
ReplyDeleteMdau wa saba hapo juu anony Mon Nov 19, 10:49:00 AM 2012
ReplyDeleteSasa namba za simu mbili za Huduma kwa Wateja umepewa hapo juu zipo 0687 197 232 na 0763 730 500 au unataka na ya mezani?
Je, unaweza kuja na Glovu mikononi hapo Hotelini kuzipiga ngumi ili kukabilina na mwenye mali?
Huyo aliyeko kwenye Jacuzzi ukiona hivyo ujue ni mgeni kama wewe aliyemweka hapo ametumia pesa ndefu tu na huku akiwa ni mali zake huyo mtu!