WARATIBU WA MAONYESHO HAYO YA MITINDO NITE -3..MR "DMK" & MR "J&P" WAMESEMA KUWA MA MODELS WOTE WATAKAOSHIRIKI MWAKA HUU NI MAMISS KUTOKA KATIKA NCHI MBALI MBALI ZA AFRICA NA EUROPE,WAKIWEMO MISS ETHIOPIA USA,MISS ZIMBABWE USA,MISS NIGERIA USA,MISS GHANA USA,MISS BRITAIN USA,MISS KENYA USA,MISS SOUTH AFRICA USA PAMOJA NA NCHI ZINGINE NYINGI...PRESIDENT WA MITINDO NITE DESIGNER MA WINNY CASEY PIA AMETHIBITISHA KUWA PRESIDENT WA MASHINDANO YA MISS AFRICA USA ATAKUWA NI MMOJA KATI YA WAGENI RASMI,TUZINGATIE MUDA,SHOW ITAANZA SAA TATU(9.00PM)ZA USIKU,BURUDANI KABAMBE KUTOKA KWA TANZANIA'S QUEEN OF ZOUK "HAFSA KAZINJA" AKIPIGA LIVE NA BENDI YA WANAMUZIKI MAARUFU KUTOKA ZAIRE AKIWEMO  " NGUMA LOKITO" NA WENZAKE,JUMAMOSI HII YA NOV 24 !!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...