Drizzle Detective Agency (DDA) is a Private Company established in 2010 operating under three dedicated directors of different Professions with a wide Experience in many fields namely Security Services, General Investigations and Fraud Investigation. Our firm has been fully Registered and Authorized by Ministry of Home affairs and conducting its Activities Accordance with all Applicable laws. 

Our Services: 

General investigation, Fraud Investigation, Security services Management Consultancy, Technical Security Consultancy, Professionals Staff Vetting, and Risk Management. 

Contacts 

Old posts Office, 
Mkwepu Street 
Tel 0767999356, 0767999336, 0774444497 
Email: info@drizzledetectiveagency.com 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. Mimi nataka ku hire private investigator kufuatilia movement za mume wangu....Je mnatoa hiyo servcice. I will pay you handsomely!

    ReplyDelete
  2. What do you mean by general investigation? Do you do cheeters investigation?

    ReplyDelete
  3. DDA-PrivatE Investigation Firm,

    Hongera sana kwa hii kazi nzuri!

    Isipokuwa eneo hilo ya masuala ya Upelelezi Binafsi ni nyeti sana pia mjenge zaidi uaminifu kwa Namba za simu za mezani na sio simu za Viganjani ambazo muda mwingine zinakuwa mawasiliano ni tete licha ya kuzimwa!

    ReplyDelete
  4. Duh? hii sijawahi kuisikia. Nadhani hapa kuna kukiukwa kwa katiba na hasa katka hili la "General investigation".
    Taasisi binafsi inaruhusiwa vipi na serikali kufanya General investigation? Kama taasisi ambayo lengo lake ni kutengeneza pesa(kupata faida kipesa) inaruhusiwa kufanya General investigation basi hatuko salama.

    Kwa mfano, mtu akitaka kufanya utafiti kuweza kujua ni mawaziri wangapi wameathirika na VVU, je taasisi hii inaruhusiwa kufanya uchunguzi huo? Au inaruhusiwa kuchunguza walalahoi tuu?
    Mipaka ya kazi zake ni zipi? na imesajiliwa kwa kanuni zipi?

    Kama tasisi hii inaruhusiwa kuwepo tunaomba pia turudishiwe ile website/blog ya zeutamu kwa sababu kimsingi zinafanya kazi zinazofanana.

    ReplyDelete
  5. Watu pressure zimeshaanza kupanda....haya mambo ya kawaida...yapo nchi nyingi ulimwenguni. sioni sababu ya kuwapiga stop. hii itasaidia kunyooshana...maana sioni kesi za ku investigate zaidi ya za cheaters. Kama ni za rushwa sijuhi nini si wapo kina Manumba. Big up mwenye hii kampuni...umekuwa so creatrive...hiki kilikuwa kilio cha wanandoa wengi. Lol.

    Hapa nsha chukua kontakti.

    ReplyDelete
  6. Mdau hapo juu mbona umeingiwa na woga ghafla? Kama wewe ni msafi una tatizo gani. talinganishaje hii na ze utamu wakati watu wameshakuambia wao ni investigators kwa maana kuwa wanakuja na full evidence ambazo unapewa wewe mteja na si kumwaga mtandaoni; ze utamu hatuwezi jua kama kulikuwa na ukweli kwenye taharifa zao....hawa ni professional evidence watakazotoa naamini zinatosha hata mahakamani....kama una vimeo ndo ujue, anza kujirekebisha.

    ReplyDelete
  7. Kweli kabisa, wekeni LANDLINES. Hii ya cellphones imekaa ki ofisi ya briefcase zaidi, it does not look serious.

    Investigations iachieni SERIKALI, toeni huduma za ubodigadi tu na chunguzi za ki cheaterscheaters.

    ReplyDelete
  8. Mwanamama Mdau wa kwanza anony Mon Nov 19, 09:57:00 AM 2012

    ...kumdhibiti mume kwataka 'uijue mizugu' na kumfuatilia mume utapata matatizo ya 'sukari kupanda, na 'shinikozo la moyo' !

    Nakushari jukumu la kumfuatilia mumeo usiwape Makachero wa Kukodi hao watafute kwa masuala ya Makosa ya Jinai, unatakiwa ukawaone Mabibi wazee wakujuze kumshika mumeo.

    ReplyDelete
  9. Bibie wa kwanza, Mon Nov 19, 09:57:00 AM 2012

    Mume hafuatiliwi na kupelelezwa kwa msaada wa Mashushushu wa Kukodi huhitaji hilo, unachotakiwa mshike Mumeo kuanzia JIKONI, BAFUNI, CHUMBANI hadi KITANDANI!

    ReplyDelete
  10. Mtoa maoni wa 8 anony Tue Nov 20, 08:23:00 AM 2012

    ma kweli...kumdhibiti mume kwataka 'uijue mizungu'.

    Tatizo kubwa ni kuwa maandalizi na Ndoa nyingi za Kisasa yanatanguliwa na Kitchen Part zisiyokuwa na mafunzo haya sahihi kama walivyokuwa wakitoa Mabibi Wazee miaka hiyo ktk kuandaa Mabibi Harusi!

    Kitchen Party nyingi zimejaa Mipahso na Maonyesho yasiyo rasmi badala ya kuegemea zaidi kumwandaa manamke mhusika na ndoa.

    ReplyDelete
  11. Duhhh kaaaazi kweli kweli,

    Udhibiti wa mume upo mikononi mwa Mawakala wa Upelelezi!

    Hii ya mwaka!

    ReplyDelete
  12. Je, kama wameruhusiwa Kufanya Huduma za Upelelezi Binafsi mtatuhakikishiaje kuhusu haya mawili hapa:

    1.Michakato kufanywa bila ounevu au kupendelea upande mmoja?

    2.Vipi kuhusu wigo wa rushwa kupanuka hapo?

    ReplyDelete
  13. Kama mmeruhusiwa Kisheria Kufanya Upelelezi Binafsi je:

    1.Mtatuhakikishia vipi ya kuwa michakato itafanyika kwa haki bila uonevu au kupendelea upande mmoja?

    2.Vipi kuhusu mianya ya Rushwa hapo?

    ReplyDelete
  14. Bibie mtafute 'Dakitari' aliyefanya ile kazi Temeke ya 'kugandiana' ili umpige kufuli Mumeo!

    ReplyDelete
  15. Ahaaa nadhani hili Shririka litakuwa na Wateja wengi akina mama kwa ajili ya wivu kwa Waume zao!

    ReplyDelete
  16. This is such a great resource that you are providing and you give it away for free. I love seeing blog that understand the value of providing a quality resource for free. Private detectives in Madrid

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...