Joseph Safari Nicetas Mrema
(Julai 26, 1968- Novemba 18, 2011)

Leo tarehe 18/11/2012 umetimiza mwaka mmoja tangu ulipoitwa na Mwenyezi Mungu. Ingawa haupo nasi kimwili lakini kiroho tupo pamoja daima na bado tunakukumbuka daima Busara, Hekima, Upendo na Mchango wako mkubwa katika familia yetu na jamii yote kwa ujumla. Pengo uliloliacha Kaka yetu mpendwa halitazibika kamwe na hakuna wa kuliziba.

Unakumbukwa sana na wazazi wako Bw. Na Bibi Nicetas Mrema, Mkeo Sylvia, wanao Theodora, Klein, Kleist, Bibi yako Jovita, Kaka zako Norbert na Dennis, Dada zako Flora, Victoria, Ester, Dianna na Lilian, Baba zako wadogo, Perfect, Silvan, Ernest na Joachim, Wajomba zako, Shangazi zako, Mama wadogo, Mkwe wako, Shemeji zako pamoja na Ndugu, Jamaa na Marafiki.

Ibada ya kumbukumbu kwa ajili ya Mpendwa Kaka yetu Joseph Safari Nicetas Mrema itafanyika nyumbani Mikanjuni Tanga siku ya Jumamosi December 29, 2012.
BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA, JINA LA BWANA LIHIMIDIWE- AMEN.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Nakukumbuka sana kaka yangu JOSEPH MREMA tangu umetufundisha pale NASACO chekcechea kwa kweli ni pengo kubwa sana kwa familia na kwa sisi pia tuliokufahamu

    Raha ya milele ummpe eee bwana na mwanga wa milele umwangazie.. Apumzike kwa amani.. AMEN

    Mdogo wako

    Peter Shirima

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...