Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Korea nchini Tanzania, IL Chung, wakati alipofika ofisini kwa Makamu, Ikulu jijini Dar es Salaam leo Nov, 23, 2012.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi kutoka kwa Balozi wa Korea nchini Tanzania, IL Chung, mara baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu, Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Nov 23, 2012. Picha na OMR.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...