Kokolikoooo... na Ankal anaamka na ngoma ya 'Stomp' ya Brothers Johnson. Ankal anapenda kutoa shukurani kwa wadau kibao wanaopiga simu na kuunga mkono safu hii ya ngoma azipendazo, wengi wakikubali kwamba hakika enzi hizo kulikuwa na mambo sio ya kawaida.
Home
Unlabelled
ngoma azipendazo Ankal - Aluta continyua
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Ankal, hii mwisho. Yaani inanikumbusha mbaali sana. Enzi za muziki wa kweli. Siku hizi micharuko mitupu. Endelea kutuburudisha. Turushie Marvin Gaye tukamilishe weekend. Mdau, Manzese
ReplyDelete