Waziri  wa Nchi Ofisi wa Rais asiye na Wizara Maalum na Mbunge wa Rungwe Mashariki, Profesa Mark Mwandosya, ambaye   yuko hospitalini jijini Hyderabad, India, alikokwenda kwa uchunguzi wa afya yake na huko amekutana na Mzee Peter Kisumo ambaye amelazwa katika hospitali hiyo  kwa matibabu. Habari kutoka huko zinasema wote wanaendelea vyema katika uchunguzi na matibabu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Mungu aendelee kuiimarisha afya yako uwe mzima na mwenye nguvu tele, Tanzania inakuhitaji sana, kiongozi shupavu uliyejaa vitendo na si maneno maneno.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...