Hayawi hayawi yamekuwa! Mdau Mlopelinyi Kiwanga akiwa katika pozi na mai waifu wake  Tunu Segule. Wawili hawa walifunga ndoa   September 30 2012  mjini Arusha na kufuatiwa na mnuso wa nguvu Oktoba 6, 2012 katika Hoteli ya White Sands jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...