SHINDANO la Mkali wa Michano (The Mic King) vijana wa wilaya ya Illala lililofanyika jana Jumapili ndani ya Ukumbi wa Taifa wa Burudani Dar Live ulioko Mbagala jijini Dar es Salaam, lilikuwa la aina yake.
Shindano hilo lililoshirikisha vijana kumi lilisindikizwa na bendi ya muziki wa dansi ya African Stars ‘Twanga
Pepeta’ na kuwapa wakati mgumu majaji kuwachagua watakaoingia katika tano bora. Picha na Issa Mnally/GPL
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...