Meneja uhusiano wa Airtel Jackson Mmbando akifafanua jambo wakati wa uzinduzi wa promosheni mpya ya Airtel "AMKA MILIONEA" .kulia ni Meneja Huduma za Ziada Airtel,Francis Ndikumwami na Kushoto ni Afisa Mahusiano na Matukio wa Airtel,Dangio Kaniki.kujiunga na promosheni hiyo mteja atatakiwa kutuma neno SHINDA au WIN kwenda namba 15595 bure na atapokea maswali atakayoyajibu na kukatwa sh 350 kila sms na kupata point zitakazomuwezesha kushinda.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...