MWAKA 2012 UMEKUA NI WAMAFANIKIO SANA, MWENYEZI MUNGU AMENIJAALIA MWANZO WA MWAKA KUANZISHA RESTAURANT NYUMBANI TANZANIA KWA MAFANIKIO MAKUBWA KABISA PIA MWISHO WA MWAKA MWENYEZI MUNGU AMENIJAALIA NIMEPATA MTOTO MZURI SANA WA KIKE AMEEN
HAIKUA KAZI NDOGO KUANZISHA RESTAURANT NA KUHAKIKISHA WALAJI WOTE WAWE KATIKA MIKONO SALAMA NA WAFURAHIE CHAKULA.
KWA SASA NIPO MAPUMZIKONI NITAJITAHIDI SANA NIWEZE KUWEKA RECIPE ZOOTE KATIKA PICHA PIA NIWEKE RECIPE MPYA MUWEZE FURAHIA MWAKA MPYA.
NAIMANI TUTAUANZA MWAKA 2013 KWA FURAHA, AFYA NJEMA NA MAFANIKIO
HUKU NI BARIDI SANA
Je anaweza kupika mchuzi wa kupaka?
ReplyDeleteHongera sana kaka Issa kwa kupata mtoto. Mungu amjalie afya njema pamoja na mama yake. Mie ni msomaji sana wa blog yako na huwa najitahidi kupika mapishi unayoyaweka. Nasubiria kwa hamu mapishi mapya.
ReplyDeletekaka nakupa hongera sana kupata mtoto wa kike
ReplyDeleteNAMI NITAFUATAILIA MAPISHI YAKO AMBAYO SIJAWAHI KUYAONA LEO NI MARA YANGU YA KWANZA KUKUONA NA KUONA WEBSITE YAKO
MUngu akuabriki uejee salama na uendelee na kazi yako
heloo...asante kwa salamu nimetemmbelea blog yako kwa mara ya kwanza. nimependa saaaaaana.
ReplyDeleteKITU KIMOJA TUU BRO NAKUOMBA SAANA NENO 'FATILIA'...SIO SAHIHI....badala yake NI 'FUATILIA'