Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.Mohamed Gharib Bilal akikabidhi cheti cha shukrani kwa Saleh Mohamed Said kutokana na msaada wake wa kufadhili ujenzi wa kituo cha polisi cha Kiboje mkoa wa kusini Unguja. Kampuni ya Migozi Supermarket ya mjini Zanzibar inayomilikiwa na Saleh imechangia ujenzi huo uliogharimu sh.milioni 50. Picha na Martin Kabemba
Home
Unlabelled
Migozi Supermarket yachangia ujenzi wa kituo cha polisi Unguja
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...