Bendi ya Muziki wa dansi Ngoma Africa Band yenye makao yake nchini
Ujerumani inawatakia wadau wote Heri ya Siku kuu ya X-Mass,
Amani na Upendo ndio msingi pekee wa furaha ya maisha.
Merry X-Mass wadau wote ! Popote mlipo
Furahia Merry Christmass na midundo ya Ngoma Africa kwa kubofya at
Home
Unlabelled
Heri ya X-mass kutoka Ngoma Africa Band aka FFU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Ahasanteni sana kwa salamu wana wa Makunjazzz !!!
ReplyDeleteMaafande wa ffu,nyinyi mnakubalika kitaifa na kimataifa,Sisi wadau wenu tunawatakieni krismasi njema na heri ya mwaka 2013,Mungu awazidishe nguvu
ReplyDeletekatika gwaride lenu
hiiii! Kikosi maalumu cha FFU aka watoto wa mbwa,nanyi tunawatakia merry x-mass na baraka za mwaka mpya,
ReplyDeletezidisheni virungu kama kawaida yenu ffu bin watoto mbwa