Jeshi la Polisi mkoani Katavi limepokea jezi za mchezo wa mpira wa miguu kwa lengo la kuendeleza uhusiano wa Polisi Shirikishi.Pichani anaonekana Mbunge wa Viti Malumu mkoa wa Katavi,Mh Dkt. Prudenciana Kikwembe akimkabidhi RPC wa Mkoa wa Katavi,Kamishina Msaidizi wa Jeshi la Polisi Dhahiri Kidavashari na aliye simama pembeni anashuhudia ni Mkuu wa wilaya ya Mlele,Kanali Ngemera Rubinga.Makabidhiano hayo yalifanyika mbele ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda (hayupo pichani) katika kijiji cha kibaoni Mkoa wa Katavi.
Home
Unlabelled
JESHI LA POLISI KATAVI LAPOKEA MSADA WA JEZI ZA MCHEZO WA MPIRA WA MIGUU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...