Mwanamama huyu ambaye jina lake halikuweza fahamika mara moja pamoja na wanawe,wakichota maji katika moja ya mabomba yaliyokatika kutokana na ujenzi wa barabara ya Ununio,kutokea Boko mpaka Afrikana,Mbezi Beach jijini Dar kama alivyonaswa na Kamera yetu leo.Sijui mamlaka za maji zinasubiri nini kuyaweka mabomba haya katika utaratibu unaotakiwa,kwani hali hii inaleta hadha kwa watu wengine ambao hapo awali walikuwa wakipa maji.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Mama anakosa gani Maji. Daresalaam ni kama juice ...hata ukiyalipia huyapati

    ReplyDelete
  2. si bongo tambarare? namna hii acheni watu wapige boxi na maisha bora kwa kila mtu. najua mtachonga lakini majuu ni majuu tuuu hii kitu haitakaa itokee aslani hata katrina bin sunami hutaona haya mambo, wapo fasta kutengeneza miundo mbinu ili maisha bora yaendelee. kifupi hii ni aibu.

    ReplyDelete
  3. Mimi nadhani hana kosa na wanastaili pongezi kwa kusitiri maelfu ya lita za maji yanayopotea bure, kwakua hayo mabomba yamekatwa na watengeneza barabara na maji yanatiririka bila uangalizi .

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...