Wakili mpya, Bi. Beatrice Makelele akiwa amekula pozi na kaka yake, Nathan Mpangala, mara baada ya kukubaliwa na kusajiliwa kuwa wakili katika sherehe zilizofanyika katika viwanja vya Law School of Tanzania, jijini Dar es Salaam, leo. Bi. Makelele ni miongoni mwa mawakili wapya 654.
Wakili mpya, Bi. Beatrice Makelele, alipata pia nafasi ya kupiga picha na Kamanda Polisi Kanda Maalum, Dar es Salaam, Bw. Suleiman Kova. Hii ilikuwa mara baada ya kukubaliwa na kusajiliwa kuwa wakili katika sherehe zilizofanyika katika viwanja vya Law School of Tanzania, jijini Dar es Salaam leo
Wakili mpya, Bi. Beatrice Makelele akiteta jambo na mumewe, Bw. Nico Makelele, mara baada ya kukubaliwa na kusajiliwa kuwa wakili katika sherehe zilizofanyika katika viwanja vya Law School of Tanzania, jijini Dar es Salaam leo
Mawakili wapya, Bi. Beatrice Makelele(kushoto) na Bi. Ananienyi njiro, wakionesha furaha yao baada ya kulamba uwakili katika sherehe zilizofanyika katika viwanja vya Law School of Tanzania
aadhi ya mawakili wapya waliosajiliwa leo wakiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Jaji Mkuu, Othman Chande (wa tatu kutoka kushoto mstari wa mbele), mara baada ya kulamba uwakili katika sherehe zilizofanyika katika viwanja vya Law School of Tanzania, jijini Dar es Salaam, leo. Picha na Kijasti Bikozi
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...