Mtoto Christina Chambo wa Kituo cha Comfort akiongoza sala ya ufunguzi wa hafla ya utoaji zawadi ya Krismasi kwa watoto wa kituo hicho cah Comfort na Diana vyote vya Mjini Tanga vilivyotolewa na wafanyakazi wa Vodacom kupitia kampeni ya Pamoja na Vodacom. Zaidi ya Sh. 50 Milioni zitatumika katika kampeni hiyo na kunufaisha makundi yenye uhitaji sehemu mbalimbali nchini.Meza Kuu kutoka kushoto ni Bi Martha, Yessaya,Rene, Saanani na aliyesimama kulia ni Meneja Mahusiano ya Nje wa Vodacom Salum Mwalim.
Watoto wanaolelewa katika kituo cha Comfort wakipokea vifaa vya shule na vyakula kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Rene Meza huku Mwakilishi wa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Masoud Saanani, Meneja wa Vodacom Tanga Mjini Edgar Malimbo na Mkuu wa Vodacom Foundation Yessaya Mwakifulefule wakishuhudia.
Mkurugenzi mtednaji wa Vodacom Rene Meza (wa pili kulia) akiwa katika picha ya pamoja na wahariri wa vyombo mbalimbali vya hyabari nchini pamoja na watoto wa kituo cha malezi cha Confort cha Mjini Tanga wakati Vodacon na Wahaariri hao walipojumuika pamoja katika hafla ya kukabidhi zawadi za krismas kwa watoto hao ikiwemo vyakula na vifaa vya shule kupitia Vodacom Foundation.
Mkurugenzi Mtedaji wa Vodacom Rene Meza akihutubia katika mkutano mkuu wa mwaka wa Jukwaa la Wahariri Nchini (TEF) mjini Tanga mwishoni mwa wiki. Rene alitumia nafasi hiyo kuzungumzia uwekezaji wa Vodacom hapa nchini na mchango wa kampuni hiyo katika uchumi wa nchi na maendeleo ya ustawi wa Jamii.
Makamu Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzaniia (TEF) Tefil Makunga akimtambulisha Mkurugenzi Mtedaji wa Vodacom Rene Meza (wa pili kushoto) kabla ya Rene kuhutubia mkutano mkuu wa mwaka wa TEF mjini Tanga mwishoni mwa wiki. Rene alitumia nafasi hiyo kuzungumzia uwekezaji wa Vodacom hapa nchini na mchango wa kampuni hiyo katika uchuni wa nchi na maendeleo ya ustawi wa Jamii. Kushoto ni Meneja Mahusiano ya Nje wa Vodacom Salum Mwalim.
Mhariri Mkuu wa Habari wa Channel Ten na Radio Magic FM Benadina Chahali (kushoto) na Mhariri wa gazeti ya Uhuru Lilian Timbuka wakifuatilia hotuba ya Mkurugenzi Mtedaji wa Vodacom Rene Meza wakati wa mkutano mkuu wa mwaka wa Jukwaa la Wahariri Nchini (TEF) mjini Tanga mwishoni mwa wiki. Rene alitumia nafasi hiyo kuzungumzia uwekezaji wa Vodacom hapa nchini na mchango wa kampuni hiyo katika uchuni wa nchi na maendeleo ya ustawi wa Jamii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...